(Scorpio and Capricorn)

Wewe ni Maji ya moto na yeye ni mchanga wa pwani;Hisia zako zote kali na zenye nguvu hukaribishwa na kutulizwa hapa.
Wewe ni maarufu kwa kuwa mtata sana kwenye mapenzi unagubu ambalo si rahisi kuonekana wazi lakini kadri unavyozidi kuwa na huyu mwenzio ndivyo atakavyozidi kukutuliza kwa maana ana asili ya utaratibu na kumezea mambo mengi.
Na vile vile yeye ni mtu mzazi sana vile vile matukio yake ya kusisimua hukufanya kuwa ni mwenye kuvutiwa nae zaidi na kufanya uhusiano wenu uwe na huba ndani yake kwa maana yeye pia huvutiwa na hupenda tabia yako ya kumuonea wivu japo anaweza kukuthibitishia hilo au kisiri ambalo hili humfanya ajihisi yupo kwenye mahusiano ya kueleweka na kujihisi analindiwa mapenzi yake.
Nyote wawili mnahusiana vizuri na mnaonekana ni wenye kuwa na mtizamo mmoja linapokuja suala la kimtizamo.
kwa maana nyinyi ni wenye tamaa moja, nia moja na mtizamo mmoja mnapoingia kindoa na kuwajibika pamoja kila mtu kwa nafasi aliyopo mna nafasi kubwa ya kufanikiwa kindoa kuliko uhawara hata mafanikio ya kiuchumi kubwa tu mnatakiwa kushirikishana na kuwa wawazi kila mtu kwa mwenzio ukifanya kitu usimfiche vile vile na yeye.
Makala hizi zitakuwa updated kila mara hivyo kaa karibu nasi;