Jinsi ya kutajirika | Mafanikio ya nyota | Utajiri wa nyota?

Rakims

 Jinsi ya kutajirika kupitia nyota yako?

kutajirika-kinyota

Wengi katika wanajimu mtandaoni wanapotaka kuwaangalizia watu na katika kuandika makala zao za unajimu utakuta wanawaambia watu nyota za watu wenye utajiri ni nyota zifuatazo: utakuta wanakwambia

  1. samaki 
  2. kaa 
  3. nge
  4. punda
  5. simba
  6. mshale
Lakini ukweli haupo hivyo.

Wanataja nyota hizo ili ukisema uende kuangalia nyota za matajiri wakubwa duniani uweze kukutana na nyota walizotaja ili tu uamini walichosema.

Lakini ukweli haupo hivyo;- 

Ili mtu aweze kutajirika anategemea sana mpango wa nyota zake kwenye chart ya unajimu wake kwa kuangalia nyota 3 za utajiri au mafanikio sehemu zilizokaa katika chart hiyo.

Ambazo nyota 3 za utajiri zaidi ni nyota za;

  1. Punda
  2. Simba 
  3. Mshale
Hii ni kutokana na nyota hizi ni nyota za moto na ni nyota ambazo zipo haraka zaidi katika msukumo wa mafanikio hasa katika nyanja zinazokuwa zinausika nazo 
Mfano:

  1. Punda ni moto wa mlipuko (yaani moto unaoweza kuanza kwa mshtuko) 
  2. Simba ni Moto wa Mkaa kwa lugha ya kitabibu lakini kwa lugha ya kinajimu ni Jua
  3. Mshale ni Moto wa nyasi ( Yaani moto ambao mfano wake ni moto unaoweza kuwakia porini
Yote kwa yote nyota hizi hutaka msukumo mdogo tu ili kuweza kujitosheleza na kuwaka vema kuliko nyota zingine. 

Na hii haina maana ya kwamba wenye nyota hizi ndio watu watakuwa matajiri hapana. Isipokuwa utajiri wao utategemea na nyota hizi zimebebanishwa vipi kwenye urafiki katika chart yake huyo mtu na kila muhusika.

Yes, nyota hizi kila mtu nguvu yake anayo kutegemea na nguvu hii itajaza roho yako kipindi gani ili kuweza kuleta effect zinazotakiwa.

Japo kuwa wenye nyota hizi ndio watu wanategemewa kuwa msaada mkubwa kwa wengine ili kuweza kusurvive hata ukirejea katika solar system yetu. Jua ndio kani pekee ambayo inakuwa kama muanzilishi wa uhai.

Hivyo kila mtu anaweza kuwa tajiri kwa sababu tu mpangilio wa nyota hizi tatu kwenye chart yake ya unajimu zinakuwa zimekaa sawa na yeye jinsi anavyokwenda. Ndio hapo huwa tunasema ukikosea uelekeo wa kinyota basi umekosea mengi.

Influence nyingi za nyota yako zinakuja katika maamuzi na intuition zako ambazo zinatoka kwenye roho yako. 
Hivyo kujua tu nyota yako ya jua yaani sun sign hakutakufanya kujua wewe mafanikio yako yapo wapi? 
isipokuwa kujua mpangilio wa unajimu wako ndio kutakufanya wewe kufanikiwa katika kila unachotaka mfano:

  1. Umaarufu
  2. Pesa
  3. Kukubarika
  4. Kuwekeza
  5. Utajiri
  6. Kujitegemea
  7. Mahusiano
  8. Miradhi
  9. Safari yako ya maisha
  10. Biashara au kazi
  11. Marafiki au Msaada
  12. Siri yako ya mafanikio n.k
Na kwenye mlolongo huo ndio kunaamua kila kitu cha mafanikio yako hata society zote zinazotajirisha watu kimazingara zinazingatia hili.
Ikiwemo Malaika,Majini,Mashetani,waganga, walimu, Uchawi,Ndagu na kila na kila aina ya Secret society unayoifahamu wewe basi mazingatio makubwa huwa ni kwenye Records zako za kuzaliwa. 

Mpangilio na utawala wa nyota hizi kwako ni kama ifuatavyo;

  1. Punda (Binafsi na Nguvu yako)
  2. Simba (Utajiri wako)
  3. Mshale (Safari yako ya maisha)
Video ya nyota za bahati nilizitaja nyota tatu;

  1. Mizani
  2. Mshale 
  3. Simba
Hivyo uelewe kuna tofauti ya nyota za bahati na nyota za utajiri. Nitarejea kuelezea hilo

Hapa fahamu ya kwamba wanajimu wengi wa mtandaoni huorodhesha nyota za utajiri kwa kuangalia tu nyota hizo wanazo kina nani.

Search pote utakapo search mtandaoni utakuta wanajimu wengi wanataja nyota ya utajiri kuwa ni nyota za matajiri ukweli haupo hivyo.

Angalia unavyoangalia mtandaoni kupitia search engines za 

  • Google,
  • bing
  • swiss
  • duckduckgo
  • yahoo,
  • gibiru
  • wiki
  • twitter 
  • Slideshare
Na zinginezo nyingi ambazo unazofahamu kote huko kila mnajimu utakaemkuta utaona Nyota na list ya nyota anazotoa zinazohusu utajiri amekuwa kalenga matajiri wakubwa duniani. Lakini hapa nitakupanua kimaarifa na utajua utajiri wako upo wapi.

Mfano wa nyota hizo utakuta ni:

1Bernard Arnault / Bernar Alnow (Nyota ya Samaki)$189 billionFrance
2Elon Musk   (Nyota ya Kaa)$181 billionUnited States
3Jeff Bezos   (Nyota ya Mbuzi)$118 billionUnited States
4Bill Gates   (Nyota ya Nge)$115 billionUnited States
5Warren Buffett (Nyota ya Mashuke)$109 billionUnited States
6Larry Ellison (Nyota ya Simba)$103 billionUnited States
7Steve Ballmer (Nyota ya Punda)$91.0 billionUnited States
8Larry Page (Nyota ya Punda)$87.8 billionUnited States
9Carlos Slim  (Nyota ya Ndoo)$87.4 billionMexico
10Sergey Brin (Nyota ya Simba)$84.0 billionUnited States
11Mukesh Ambani (Nyota ya Punda)$82.6 billionIndia
12Francoise Bettencourt Meyers (Nyota ya Kaa)$80.4 billionFrance
13Mark Zuckerberg  (Nyota ya Ng'ombe )$68.5 billionUnited States
14Charles Koch  (Nyota ya Ng'e)$67.6 billionUnited States
15Julia Flesher Koch &family  (Nyota ya Punda)$67.6 billionUnited States
16Zhong Shanshan  (Nyota ya Mshale )$66.9 billionChina
17Jim Walton           (Nyota ya Mapacha )$64.6 billionUnited States
18Amancio Ortega    (Nyota ya Punda )$64.4 billionSpain
19Rob Walton            (Nyota ya Nge )$63.9 billionUnited States
20Alice Walton            (Nyota ya Libra )$62.2 billionUnited States
21Zhang Yiming           (Nyota ya Punda )$54.9 billionChina

Hivyo moja kwa moja sote tutakubaliana kwamba nyota nyingi za watu matajiri zaidi duniani ni Punda, Simba, na Mshale. 

Ingawa nyota ya Mizani pia wapo wengi hii haileti maana kuwa nyota ya mizani ni nyota yenye nguvu ya utajiri hapana hii ni nyota yenye nguvu zaidi kwa upande wa bahati kuna tofauti baina ya mlango wa 9 na 5 katika unajimu ingawa zote zinaweza kuhusishwa na mafanikio

Mfano tuchukulie
1Bernard Arnault / Bernar Alnow (Nyota ya Samaki)$189 billionFrance
Huyu tukiangalia chart yake ya unajimu:

Astrology profile

Birthday:
Saturday, March 5, 1949 at 5:00:00 PM GMT+01:00
Today, the person is 27057 days old.

(74 years28 days)

Place of birth:
Roubaix, France (50° 41' N, 3° 10' O)
Timezone: UTC +1

Zodiac signPisces - 7th House (14° 46')
Ascendant / Rising signLeo (28° 56')
MoonTaurus 9th House (17° 41')
MercuryAquarius - 6th House (18° 22')
VenusPisces - 7th House (4° 4')
MarsPisces - 7th House (17° 17')
JupiterCapricorn - 5th House (24° 12')
SaturnVirgo - 1st House (1° 51')
UranusGemini - 10th House (26° 31')
NeptuneLibra - 2nd House (14° 34')
PlutoLeo - 12th House (14° 43')
1st HouseLeo (28° 56')
2nd HouseVirgo (18° 55')
3rd HouseLibra (15° 0')
4th House - Imum CoeliScorpio (18° 42')
5th HouseSagittarius (27° 8')
6th HouseAquarius (1° 26')
7th House - DescendantAquarius (28° 56')
8th HousePisces (18° 55')
9th HouseAries (15° 0')
10th House - MidheavenTaurus (18° 42')
11th HouseGemini (27° 8')
12th HouseLeo (1° 26')
Hivyo kwa mfano huu huyu bwana anaonekana atatajirika tu ikiwa atafuata vema hatua zake za mafanikio kuanzia nyota yake kuonyesha ni nyota ya kitajiri.

Malizia maelekezo kwenye Video.

                                     

Wasiliana nasi

Rakimsspiritual@gmail.com

WhatsApp number


+255 783 930 601


Rakims

Tags

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Accept !