Utangamano
Mahusiano kinyota kati yako Mbuzi na Mbuzi (Capricorn and Capricorn) Compatibility:
Katika mahusiano haya tunaona kuwa ikiwa wewe ndio muangaliaji basi fahamu ya kuwa nyota yako ya kweli kabisa itakuwa ni mtu ambaye umezaliwa kati ya tarehe 14 January hadi 12 February hivyo achana na kufuatilia nyota za magazeti na ufuatilie nyota za kinajimu utaujua ukweli;
Ndio maana siri hii tunaficha hivyo kwa utangamano huu basi fahamu kabisa ya kuwa wewe ni mtu ambaye mwenye nyota ya Asili ya mchanga wa pwani na mwenza wako ni hivyo hivyo;
Ndio maana siri hii tunaficha hivyo kwa utangamano huu basi fahamu kabisa ya kuwa wewe ni mtu ambaye mwenye nyota ya Asili ya mchanga wa pwani na mwenza wako ni hivyo hivyo;
Kwa hivyo wawili nyie ni wenye kuendana katika mahusiano hususani nyote ni wenye kuangalia sana watu ambao wanaendana na jinsi mlivyo.
Utangamano huu unaonyesha kuwa wewe na mwenza wako ni watu ambao ni wenye kupenda heshima na mipaka, Hivyo kwenu nyote wawili si rahisi mmoja kumvunjia heshima mwingine.
Nyote ni wenye tahadhari sana linapokuja suala la mapenzi, wenye upendo wa dhati na wenye kuhifadhi mapato (pesa kwa pamoja) Lakini hata kwa nyota zinazoendana pia muda mwingine huwa na kasoro zake.
Ni watu mnaendana vema kwenye tendo la ndoa lakini ni wenye kuendana tofauti katika mambo mengine.
Ni watu ambao kuna kipindi kinaweza kuwapitia hususani cha huzuni basi kila mmoja anaweza kuwa na msimamo wake.
Na hapo ndipo wengine unakuta hukatishana tamaa, hasa nyinyi kwa nyinyi. Hakuna mtu anayeweza kupumzika au kuacha hata nywele zake zitulie kwa mwenzie.
Kama ni watu ambao mtashirikiana basi mtaendana vema, Lakini ni watu ambao hamtakuwa na furaha sana.
Upendo husafiri kwa njia isiyoonekana kuteremka, lakini huzuni ni jambo ambalo halikwepeki kwenye mahusiano yenu, Hivyo tambueni kuishi kufuata misingi ya uvumilivu kama ilivyo sifa kuu ya nyota zenu.
Note:
Ikiwa unahitaji kuangalia nyota yako na mwenza wako;
Basi usisite kutuandikia ujumbe kupitia:
WhatsApp:
Ikiwa unahitaji kuangalia nyota yako na mwenza wako;
Basi usisite kutuandikia ujumbe kupitia:
WhatsApp:
+255 783 930 601
Email:
Rakims Spiritual