Ikiwa unahitaji kuangaliziwa jambo lolote basi soma kwa makini utaratibu ufuatao chini kama ni nyota au ni mambo yako mengineyo.
Kusomewa karata kwa uchambuzi wako binafsi ili kuweza kupata muongozo wako kwa mambo yako mbalimbali, Basi usisite kuwasiliana nasi na kuweka Appointment katika Adress iliyopo mwisho wa ujumbe huu au kwa mtandaoni kwa mtu aliyembali.
Hivyo kwa ajili ya kusomewa karata zako, za maswali ambayo unahisi huwa hayana majibu kwako;
Tutakuangalizia Maisha yako kwa ujumla kupitia njia ya Nyota, Karata (Tarot Reading), Shikeli au Kiganja (Palmistry).
Na mengineyo ambayo utahitaji huenda hayajaorodheshwa hapa unaweza kuuliza:-
- Nyota yako, Bahati yako na Mwili wako (Umelogwa,kifungo n.k.) 15,000/Tsh
- Kipato chako vyanzo vya pesa 10,000/Tsh
- Mawasiliano yako, Ndugu zako na jamaa (kuangalia kuna habari gani) 10,000/Tsh
- Nyumba yako na Mizimu ya kwenu (pande mbili) 15,000/Tsh
- Kizazi chako na Mali yako muongozo wa kupata hivyo 15,000/Tsh
- Maradhi / Afya yako / Huduma yako 10,000/Tsh
- Mahusiano / Ndoa yako 20,000/Tsh
- Kama umelogwa, umefungwa, una majini, n.k 10,000/Tsh
- Safari yako ya maisha na Sababu ya maisha(Life purpose) 30,000/Tsh
- Kazi yako na biashara yako (House of career) 10,000/Tsh
- Marafiki zako na Msaada wako (Mambo ya kiserikali) 10,000/Tsh
- Mambo ya kujitakia, Laana, Majini 20,000/Tsh
- Kuchambuliwa taratibu za kubeti (Misingi yako) 40,000/Tsh
- Maisha ya Yaliyopita, Yaliyopo na Yajayo. 50,000/Tsh
- Unajimu mzima (Ramani yako ya maisha) 230,000Tsh
Kwa maelezo ya undani zaidi kuhusu haya unayoangalia au unachotaka kuangalia basi unaweza kuuliza.
Kwa msaada Zaidi;- Karibu katika Ofisi zetu za Rakims Spiritual Zilizopo:
Ilala, Bungoni karibu na Imperial Hotels and Apartments.
Dar Es Salaam, Tanzania.
Tupo: Kila Siku za Wiki.
Jumatatu - Ijumaa
Muda: 11:00 - 22:00
(Saa Tano Kamili Asubuhi hadi Saa Nne kamili usiku ).
Kwa appointment:
Email: rakimsspiritual@gmail.com
Whatsapp: +255783930601
Rakims Spiritual.